kujua kuunda saketi mbalimbali za ki electronics.
vigezo
*Ni lazima uwe unajua kusoma na kuandika
*uwe na uelewa wa vifaa vya ki electronics
*uwe umepitia mafunzo ya ufundi
*kama unahitaji kuunda saketi za kielectronics ambazo watu wengi huitaji kutumia ,Mfano *conveter,amplifire,invetor,stablizer,fridge Gard,radioreciever ,radio transimiter,crossover,equalizer,mixer na vinginevyo,endelea kufuatilia tovuti hii utaweza kuunda saketi mbalimbali zilizo hakikiwa michoro yake na kuonekana ina ubora.
*kama hutoweza kutambua michoro ya kielectronics kisomi unaweza kupatiwa michoro ya kielectronics ki uhalisia wa kifaa ili uweze kuunda.
safi sna fundi mshana
ReplyDelete