*Hi ni saketi yaki electronic ambayo kutumika kama swichi ya kuwasha au kuzima pale ambapo kuna kuwepo na mwangaza au giza.
*Huweza kufanya kitendo cha kuwasha au kuzima ki automatiki kulingana na uwepo wa mwanga au giza.
*Saketi hii inatumia jumla ya volt 12DC 0.5Amp.
*Saketi Ikipata mwanga huzima ,ikipata giza huwaka
*Huweza kutumika kama swichi ya kuwasha Taa,(za barabarani ,nyumbani ,viwandani ,sehemu ambazo mtu haruhusiwi kufika mara kwa mara,N.k)
*Resistor 5....( 2.2k,2.2k,4.7k,10k and 1.5k)
*Capacitor 25v/100
*Transistor 3(2N3702,2N3702 and BFX 83)
*Relay 12v DC
10 watts power amplifier ( subwoofer )
*Ic unaigeuza kichwa chini miguu inakuwa inatazama juu (sehemu ya kufunga scerw ina kuwa chini) .. mitatu miguu inatazama uso wako miwili inakuwa nyuma, alafu ndio unafuata huo mchoro hapo chini
vifaa
*Resistor 4....( 22k,10 Ohm,47k,1k and 47k)
*Capacitor 3...50v/10.50v/1,104c
*IC ,TDA 2030A,TDA 2050 au TDA 2040
power inveter circuit diagram
Vifaaa ... 1.IRF 3205 @2
2.Resistor 1k @4
3.Resistor 10k @2
4.C1815 or D9018
5.capacitor 50v/1uf @2
6.transformer 230 vac 8-0-8 vac
car radio power amplifier
automatic dark detector
800 power amplifier
ASANTE .
* AWAMU INAYO FUATA NITAKULETEA MCHORO WA(POWER AMPLIFIER).mawasiliano +255655-066181








