Saturday, February 18, 2017

MICHORO YA KIUFUNDI ZAIDI,,,,,

       *sensitive switch(kihisi swichi)
*Hi ni saketi yaki electronic ambayo kutumika kama swichi ya kuwasha au kuzima pale ambapo kuna kuwepo na mwangaza au giza.

*Huweza kufanya kitendo cha kuwasha au kuzima ki automatiki kulingana na uwepo wa mwanga au giza.

*Saketi hii inatumia jumla ya volt 12DC 0.5Amp.
*Saketi Ikipata mwanga huzima ,ikipata giza huwaka 
*Huweza kutumika kama swichi ya kuwasha Taa,(za barabarani ,nyumbani ,viwandani ,sehemu ambazo mtu haruhusiwi kufika mara kwa mara,N.k)

vifaa
        *Resistor 5....(  2.2k,2.2k,4.7k,10k and 1.5k)
        *Capacitor 25v/100
        *Transistor  3(2N3702,2N3702 and BFX 83)
        *LDR
        *Relay 12v DC


                                               10 watts power amplifier ( subwoofer )
*Ic unaigeuza kichwa chini  miguu inakuwa inatazama juu  (sehemu ya kufunga scerw ina kuwa chini) .. mitatu miguu  inatazama uso wako  miwili  inakuwa nyuma,   alafu ndio unafuata huo mchoro hapo chini


 

vifaa
        *Resistor 4....(  22k,10 Ohm,47k,1k and 47k)
        *Capacitor 3...50v/10.50v/1,104c
        *IC ,TDA 2030A,TDA 2050 au TDA 2040









                                                         power inveter circuit diagram



Vifaaa ... 1.IRF 3205 @2
                2.Resistor 1k @4
                3.Resistor  10k @2
                4.C1815 or D9018
                5.capacitor 50v/1uf @2
                6.transformer 230 vac 8-0-8 vac

                                                          car radio power amplifier
                                 
automatic dark detector
       
                                                           800 power amplifier


   ASANTE .
*   AWAMU INAYO FUATA NITAKULETEA MCHORO WA(POWER AMPLIFIER).mawasiliano +255655-066181

Thursday, February 16, 2017

kujua kuunda saketi mbalimbali za ki electronics.

         vigezo 

        *Ni lazima uwe unajua kusoma na kuandika

        *uwe na uelewa wa vifaa vya ki electronics

        *uwe umepitia mafunzo ya ufundi


*kama  unahitaji kuunda saketi za kielectronics ambazo watu wengi  huitaji kutumia ,Mfano *conveter,amplifire,invetor,stablizer,fridge Gard,radioreciever ,radio transimiter,crossover,equalizer,mixer na vinginevyo,endelea kufuatilia tovuti hii  utaweza kuunda saketi mbalimbali zilizo hakikiwa michoro yake na kuonekana ina ubora.

*kama hutoweza kutambua michoro ya kielectronics kisomi unaweza kupatiwa michoro ya kielectronics ki uhalisia wa kifaa ili uweze kuunda.